Image
Image

Wafanyabiashara wa MPANDA walalamikia kupanda kwa ushuru wa mazao.

Wafanyabiashara  katika  halmashauri  ya  manispaa  ya MPANDA wamelalamikia kupanda  kwa  ushuru wa mazao kufuatia kupanda  ghafla  kwa ushuru huo kutoka shilingi elfu mbili mia tano hadi kufikia  kiasi cha shilingi elfu tano hatua  ambayo  wanadai imekuwa  ikiwasumbua katika  suala  la soko.
Wakizungumza  wafanyabiashara  hao  wa  eneo la  MPANDA NDOGO wamesema kuwa  kutokana  na  kulipa  ushuru wa shilingi  elfu  tano kwa  gunia  hali imewafanya  wengine kusimamisha biashara  zao  hadi watakapopata  muafaka  wa suala hilo.
Akizungumza  kwa  niaba  ya  mkurugenzi  wa  halmashauri  ya manispaa  ya Mpanda afisa elimu wa manispaa VICENTI  KAYOMBO  anasema  tozo hiyo ni sheria ndogo ya halmashauri ya  2002 ya asilimia tano ya bei ya soko.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment