Image
Image

Watu 27 wafariki katika shambulio kusini mashariki mwa Uturuki.


Waziri wa mambo ya ndani wa Uturuki amefahamisha kuwa watu 27 ndio ambao wamefariki na wengine zaidi ya mia moja kujeruhiwa katika shambulio lililotokea kusini mashariki mwa Uturuki.

Wizara ya mambo ya ndani imefahamisha kuwa huenda shambulio hilo lilitekelezwa na mtu ambae alijitoa muhanga.
tume ya wajumbe 300 kutoka katika shirika la SGDF walikuwa wamekutano katika mkutano na waandishi wa habari kabla yakutaka kujielekeza Kobane nchini Syria.

Taarifa zinafahamisha kuwa gari lingine lililipuka upande wa Syria bila ya kusababisha maafa.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment