Image
Image

ZANZIBAR wampokea mgombea urais wa CCM MOHAMMED SHEIN kwa kishindo.

Chama Cha Mapinduzi - CCM, Kisiwani ZANZIBAR kimefanya mapokezi ya kumtambulisha rasmi mgombea wa urais wa ZANZIBAR kwa tiketi ya chama hicho Dokta ALI MOHAMMED SHEIN.
Dokta SHEIN ambaye amethibitishwa na kupitishwa katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi uliofanyika Mjini DODOMA amewahakikishia wanaCCM kuwa hakuna mtafaruku ndani ya chama hicho.
Dokta SHEIN  amesema uteuzi wake ulifanyika kwa kufuata misingi na utaratibu wa Katiba ya Chama cha  Mapinduzi  na wagombea  wote waliojitokeza  kuomba nafasi ya Urais wa TANZANIA  waliweza kujadiliwa kwa kufuata utaratibu mzima wa chama hicho
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment