Image
Image

10 wafariki katika ghasia baina ya watu wa jamii mbili tofauti Mali.



Watu 10 wameripotiwa kufariki Ijumapili katika ghasia zilizotokea katika jamii Kaskazini mwa Mali.
Hali hiyo ya ghasia imeripotiwa kuzidisha hali ya kuyumbishwa kwa usalama katika jimbo la Timbukto nchini Mali.
Kwa mujibu wa taarifa iliotolewa na mashahidi wa tukio wakiwemo baadhi ya viongozi katika jamii katika kijiji cha Gaberi, walifahamisha kuwa watu kutoka jamii ya Songhai walivamiwa na watu waliokuwa na silaha wanoshukiwa kutoka katika jamii ya Tuareg.
Ghasia hizo zimetokea kufauatia kuuawa kwa mfugaji mmoja aliefahamika kwa jina la Agna Ag Sidi Mohamed na vijana wa Gaberi alipokuwa malishoni na mifugo yake.



Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment