Mtu mmoja ajeruhiwa katika maadamano mwaka mmoja baada ya kuuawa kwa mvulana mwenye asili ya Afrika na askari Polis iwa kizungu.
Muandishi wa habari wa shirika la AFP alifahamisha kuwa kuliskika milio kadhaa ya risasi na kuthibitisha kuwa kulikuwa na mtu ambae alionekana kujeruhiwa.
Mamia ya watu yaliingia barabarani wakionesha ghadhabu waliokuwanayo kwa kuuawa kwa Michael Brown mwaka mmoja uliopita.
Maandamano hayo yaliongozwa na babake Michael Brown.
0 comments:
Post a Comment