Image
Image

Alikiba, Ne-Yo wala kimenukaaaa

MSANII wa kizazi kipya Ali Kiba maarufu kama Alikiba atasikika kwenye wimbo mmoja na msanii wa Marekani, Ne-Yo.
Akizungumzia hilo, msanii huyo alisema wimbo huo utatengenezwa kupitia mradi wa Coke Studio na kusambazwa pia kwenye redio kama nyimbo nyingine zinavyofanywa.
Alisema ‘kolabo’ hiyo amepata shavu kutoka kenye kipindi cha Coke Studio.
“Hii kolabo ipo, ni kwa ajili ya Coke Studio lakini tunafanya recording kabisa ya nyimbo na tutachukua na video kwa ajili ya ku-perfom Coke Studio, itaweza kupigwa kwenye redio na televisheni,” alisema Kiba.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment