Kupitia instagram yake Peter wa P Square ameandika ujumbe kwa mashabiki wake kuhusu ajali hii nakusema “tulikuwa
na meneja msaidizi wa P Square, Kaffy na Joseph Ameh tukitoka kwenye
show , tulikuwa kwenye barabara ya Lagos Ibadan Expressway, lorry kubwa
limegonga gari yetu na kutusukuma kwa sekunde kama 12 ila tumetoka
salama, tuna mshukuru Mungu tumepona“.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment