Image
Image

Rais Kikwete azindua rasmi Benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania (TADB).

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wadau wa kilimo na taasisi za fedha wakati akizindua rasmi Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akizindua rasmi Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Vifijo baada ya  Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuzindua  rasmi Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Waziri wa Kilimo, Mhe Stephen Wasira, Waziri wa Fedha Mhe Saada Mkuya na viongozi na watendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Waziri wa Kilimo, Mhe Stephen Wasira, Waziri wa Fedha Mhe Saada Mkuya, Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkurugenzi Mkuu wa TIB Bank Bw. Peter Noni  na viongozi na watendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Msanii akiburudisha kwa ngoma kutoka Zanzibar baada ya  Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuzindua  rasmi Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) leo Agosti 7, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment