Wanajeshi watatu wauawa katika shambulio Uturuki.
Wanjeshi watatu wa Uturuki wamefariki baada ya yakushambuliwa na magaidi Sirnak.
Bomu lililotegwa aridhini na wapiganaji wa kigaidi kutoka kundi la PKK katika kijiji cha Arakoy lililipuka pindi wanajeshi walipopita na gali lao.
Taarifa zilifahamisha kuwa magaidi hao walifyatuwa bomu aina ya roketi na zana nzito na kumjeruhi mwanajeshi mmoja.
Polisi Sirnak imefahamisha kuanzisha msako mkali ili kuwakamata waliohusika na shambuli hilo la kigaidi.
Polisi imeweka marufuku ya kuingia na kutoka katika maeneo matatu ili kuimarisha usalama kwa muda wa siku 15 Hakkari.
Uamuzi huo umechukuliwa kwa nia ya kulinda raia dhidi ya mashambulizi katika mji wa Kars.
0 comments:
Post a Comment