Image
Image

Wauguzi wa Singishu na Kaunti ya Nyeri watangaza rasmi kuendelea na mgomo wao.


Baada ya huduma za Afya katika Kaunti ya Nakuru kulemazwa tangu mwaka jana Kaunti ya nyeri na Kaunti za Singishu zimefuata mkondo huo huo baada ya wauguzi kutangaza kugoma wakidai ahadi walizopewa bado hazijatimizwa na serikali za Kaunti hizo.
Hayo yamejiri muda mfupi baada ya watu 12 wakiwa wamefariki katika Kaunti ya Nakuru kufuatia Mgomo wa wiki jana.  
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment