Mfungaji wa bao la pekee dhidi ya Chelsea Oxlade-Chamberlain.
Arsenal ilikuwa haijaishinda Chelsea chini ya ukufunzi wa Mourinho katika mechi 13 walizocheza kati yao.
Lakini bao la mchezaji Oxlade-Chamberlain dhidi ya mabingwa hao wa ligi ya Uingereza liliwapatia ushindi Arsenal katika uwanja wa Wembley.
''Ilikuwa muhimu kwa timu yetu kupita kikwazo hiki kikubwa cha kifikra'', alisema Wenger.
0 comments:
Post a Comment