Akielezea maandalizi ya Wiki ya
Nenda kwa Usalama Barabarani Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, MOHAMED MPINGA amesema Rais KIKWETE kwanza ataanza kukagua mabanda ya
maonesho ambayo yatakuwa na mafunzo mbalimbali ya udereva katika kuimarisha
usalama barabarani.
Kwa upande wake Afisa wa Kikosi
cha Usalama Barabarani, ABDI ISSANGO
amesema katika zoezi la Wiki ya Nenda kwa Usalama watatoa elimu kwa shule zote
za msingi Mkoa wa Tanga ili elimu ya zoezi la uslama barabarani liwafikie wanafunzi na kujua jinsi ya kuelimisha.
0 comments:
Post a Comment