Serikali ya Croatia yafahamisha kufunga mipaka yake katika
vituo 7 nmiongoni mwa vituo vinane na Serbia.
Kwa upande
mwingine, Slovenia iliwaacha wakimbizi takriban 100 kuvuka mpaka.
Serikali
ilifahamisha kuwa ilichukuwa uamuzi huo kutokana na idadi kubwa ya wakimbizi
wanaozidi kuingia nchini.
Zaidi ya
wahamiaji 11,000 walifaulu kuingia Croatia.
0 comments:
Post a Comment