Image
Image

Kiongozi mkuu wa Burundi akosoa hatua za mauaji zinazochukuliwa na Serikali.

Kiongozi Mkuu wa upinzani wa Burundi Bwana AGATHON RWASA amekosoa hatua zinazochukuliwa na serikali kukabiliana na mauaji ya mara kwa mara nchini humo.
Amesema kwake limekuwa kero kubwa kuona kwamba serikali haiwezi kuwalinda raia wake.
Kwa sababu hiyo ameomba serikali ihakikishe kwamba kila raia wa nchi hiyo yuko salama
salimini katika nchi yake.
Hivi karibuni licha ya kupinga uchaguzi mkuu wa hivi karibuni kiongozi huyo wa upinzani
Bwana AGATHON RWASA amekubali kuwa naibu wa spika wa bunge jipya la Burundi.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment