Tasnia ya habari nchini imeondokewa
na mwanafamilia mahiri na nguli katika tasnia ya habari na utangazaji kwa
kumpoteza Geofrey Hery(DJ Nature a.k.a Mixing Master) aliyekuwa akifanya kazi kwenye kituo cha
Magic fm jijini Dar es Salaam hivi leo.
Nidhahiri kwamba nivigumu kuziba pengo lake lililokuwa likiwakilisha maelfu ya watu mbali mbali kupitia radio nikipenzi cha wengi anayefahamika na wengi kwa kazi yake ya Utangazaji na DJ kwa Dar es Salaam na kwingineko mchango wake daima utakumbukwa kwenye tasnia hii kila ifikapo leo.
Nidhahiri kwamba nivigumu kuziba pengo lake lililokuwa likiwakilisha maelfu ya watu mbali mbali kupitia radio nikipenzi cha wengi anayefahamika na wengi kwa kazi yake ya Utangazaji na DJ kwa Dar es Salaam na kwingineko mchango wake daima utakumbukwa kwenye tasnia hii kila ifikapo leo.
Taarifa za kifo cha Dj Nature ambalo ndilo jina maarufu hapa jijini Dar es Salaam na
kwingineko katika tasnia hii ya habari zimeanza kuenea asubuhi ya leo ambapo
zilibainisha kuwa DJ Nature Hatunaye
tena katika ulimwengu huu ameshafariki dunia akiwa nyumbani kwao Bombambili SONGEA.
Marehemu DJ.Nature
ni moja ya DJ Ambaye alikuwa
anafanya kazi kwa moyo wa dhati na kazi hiyo amekuwa mwenye kuipenda,amekuwa ni
mtu wa kufanya kipindi chochote kile bila ya kuchagua yaani tunaweza kusema
alikuwa (KIRAKA) kote anafiti na
anaweza kufanya baadhi ya vipindi alivyofanya Afro Bongo,Afrika Kabisa,Saterday Grove na vingine vingi ndani ya Magic Fm.
Wafanyakazi wa Magic
Fm wapo katika kipindi kigumu cha kumuomboleza Rafiki,Mfanyakazi Mwezao,Ndugu N.k,Haswa katika kipindi hiki kigumu kwao na kwa watanzania na wasikilizaji wote waliokuwa ni wadau wakubwa wa Magic Fm
na haswa katika moja ya vipindi alivyokuwa akifanya Marehemu Geofrey Hery(DJ
Nature a.k.a Mixing Master) kikiwemo
cha Afrika Kabisa Akiwa na Salma Msangi na kile cha Afro Bongo alichokuwa akifanya peke yake Jumapili kuanzia 4:00Pm hapo
Magic Fm.
Marehemu Geofrey Hery(DJ Nature a.k.a Mixing Master) baadhi ya vituo vya radio alivyowahi
kufanya nivijuavyo ilikuwa ni Mbeya fm
na hivyo kukutana naye Magic Fm hapa Dar es Salaam na Katika CLUB ya Royal Tanganyika pale Tandika Sudan Temeke
Dar es salaam alikuwa anafanya kazi hiyo ya DJ.
Binafsi nimefanya naye kazi
DJ.Nature Hapo Magic Fm kati ya mengi aliniasa uvumilivu na kuto kata tama na
kuamini kuwa hakuna kinacho shindikana jina haswa alilopenda kuniita ni MSAKA NOTI Aliniambia jina hili lina
matumaini makubwa sana,mshukuru mungu na unacho fanya fanya kweli wala usisononeke wapo wanaohitaji nafasi yako
ila hawapati unapo pata nafasi ishikilie Tarehe 25 0/9/2014”Alisema Nature Enzi
za uhai wake.
Naamini yapo mengi mtu utakaye
kaanaye akasema kati ya hayo utakumbuka machache na yenye msingi kwa kipindi
husika hakika Nakukumbuka na nitakukumbuka Geofrey Hery(DJ Nature a.k.a Mixing
Master).
Watu waliokuwa wakimfahamu pia kupitia mitandao mbali mbali ya kijamii wamekuwa wakitoa pole nyingi kwa kuguswa na taarifa hizo za msiba.
Watu waliokuwa wakimfahamu pia kupitia mitandao mbali mbali ya kijamii wamekuwa wakitoa pole nyingi kwa kuguswa na taarifa hizo za msiba.
Kipindi cha Afrika Kabisa Marehemu Geofrey Hery(DJ
Nature a.k.a Mixing Master) amefanya na Salma Msangi na haya ndiyo aliyoandika
Salma kupitia ukurasa wake wa Faceebook Leo.
Mtangazaji wa Afrika Kabisa Salma Msangi (Kushoto) Akiwa Na Marehem DJ Nature Enzi za uhai wake.
Hata hivyo Sababu za kifo cha Geofrey Hery(DJ
Nature a.k.a Mixing Master)chake nini kilicho msibu bado mapema nizipatapo kutoka kwa uongozi ama sehemu
husika nitawafahamisha.
Mungu ailaze roho yake Mahala pema Panapo stahili.
0 comments:
Post a Comment