Katika kupambana na suala la migogoro ya ardhi ambalo huwa
kumba wananchi walio wengi na kutojua hatima yao Waziri wa Ardhi,Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi amekutana na wananchi na kupokea
malalamiko mbalimbali ya migogoro ardhi katika mkoa wa Dar es Salaam.
Amepokea malalamiko hayo katika makao makuu ya wizara ya
ardhi ambapo jana jana waziri Lukuvi alipokea malalamiko ya wananchi katika
manispaa ya kinondoni na leo anapokea malalamiko ya wananchi wa manispaa ya Temeke na Ilala.
0 comments:
Post a Comment