Mawaziri wa Umoja wa Ulaya watakutana tena ili kujaribu kumaliza mgogoro wa namna ya
kuwaweka katika nchi wanachama wahamiaji 120,000 wanaotafuta hifadhi huko Ulaya.
Juhudi hizo zinafanyika wakati kikundi cha nchi za kati za Ulaya zikisita wito kwa nchi
22wanachama kukubali mgawanyo sawa wa lazima katika kuwachukua wahamiaji hao.
Hungary ambayo imechukua msimamo mkali kuhusu suala hilo imesema mipaka ya Ulaya
inatishiwa na wimbi hilo la wahamiaji huku kukiwa na mgawanyiko mkubwa ndani ya umoja
wao kuhusu wimbi hilo la wahamiaji.
Mawaziri wa Mambo ya Ndani wa Umoja wa Ulaya wanaokutana Brussels leo wanatarajia
kufikia muafaka kuhusu suala hyilo kabla ya mkutano wa viongozi wa Umoja huo hapo kesho.

0 comments:
Post a Comment