Kumekosekana ufumbuzi katika mvutano kati ya Polisi wa Hungary na maelfu ya wahamiaji kwenye Treni moja iliyojaa wahamiaji kupindukia ambayo ililazimika isimame.
Ilisimama kituo kilichopo kilomita 30 kutoka mji mkuu wa nchi hiyo,Budapest wakati wakimbizi hao walitarajia treni hiyo ingewafikisha kwenye mpaka wa Austria na wamekataa kabisa kushuka.
Wabunge wa Hungary hivi leo watapiga kura baadaye kuamua kama nchi hiyo iimarishe udhibiti wa mipaka yake wakati wahamiaji wanajaribu kupita kuelekea Ujerumani ambayo ni lengo lao.
Aidha leo kutakuwa na mikutano mingine mitatu kujadili mgogoro huo wa wahamiaji Barani Ulaya.
Home
Kimataifa
Mvutano kati ya Polisi wa Hungary na maelfu ya wahamiaji kwenye Treni wafukuta Austria.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment