MSANII wa muziki wa hip hop, Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, amesema wazazi wake walimfundisha heshima si kumuogopa mtu.
Ney alidai familia yake imemfunza nidhamu ya heshima na kuwa muwazi kwa anachoamini si sawa kwa jamii inayomzunguka.
“Ni kweli mimi nina jeuri ambayo watu wengi inawakera, lakini hawajui
kwa nini niko hivyo, jeuri yangu huwa naifanya inapobidi na inatokana
na mafunzo niliyofunzwa kutoka kwa wazazi wangu,’’ alisema Ney wa
Mitego.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment