Gordon aliandika katika ukurasa wake katika mtandao wa
Twitter kwamba ataendelea kumkumbuka mpenzi wake na mama mkwe wake, Whitney
Houston, aliyefariki mwaka 2012.
“Nitaendelea kumkumbuka Kristina na mama yake kwa kuwa
nilikuwa nawapenda sana, nilikuwa siwezi kufanya lolote bila Kristina.
“Kila siku wakati wa kulala mawazo yangu mengi ni juu ya
Kristina, nitapotea katika maisha haya bila yeye, nataka arudi duniani,”
alisema Gordon.
0 comments:
Post a Comment