Image
Image

Viongozi wa dini waonywa kuhubiri siasa kwenye nyumba za ibada.


Viongozi wa dini mkoani Ruvuma wameonywa kuacha kuhubiri siasa kwenye nyumba za ibada ili kuendelea kulinda amani iliyopo nchini kwa kuwa amani haina mbadala  wake.
Onyo hilo limetolewa na mkuu wa mkoa wa Ruvuma BNw.Said Mwambungu  wakati akzungumza kwenye jubilei ya miaka hamsini ya utumishi wa Askofu mstaafu  wa  kanisa katoliki  jimbo  la mbinga  Askofu Emmanuel Mapunda.
Katika Jubilei hiyo ambayo ilihudhuriwa na wageni mbalimbali kutoka nchi za ulaya  mkuu huyo wa mkoa amesema watanzania wakiharibu amani hawana sehemu nyingine ya kukimbilia kwa kuwa nchi za jirani kimbilio la ni Tanzania pindi yatokeapo machafuko nchini mwao.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment