Mahakama hyo imesema kuwa ni marufuku kwa wananchi
kukusanyika katika kituo cha kupigia kura na hata njee ya mita 200 hairuhusiwi
kwani ni kinyume cha sheria.
Kesi hiyo ambayo iilikuwa inasikilizwa na jopo na majaji
watatu wakiongozwa na jaji Sakieti Kihiyo ambayo imekuwa ikifuatiliwa na wadau
mbalimbali wakitaka kujuwa nini hatima ya shauri hilo kwani umbali sula la
umbali wa upi watu wanapaswa kuka bada ya kupiga kura umekuwa ni moja ya mambo
yanayozungumziwa sana kwa wapiga kura.
Uamuzi huo wa mahakama wa leo umezzima maswali yaliyokuwa
mengi kwa watu mbali mbali kufuatia matamko ya wanasiasa na tume ya uchaguzi
yalioonekana kukanganya wananchi kuwa kipi ni sahihi na kipi sio sahii
kufanywa.
Endelea kusoma
Taarifa zetu tutakujuza zaidi.
0 comments:
Post a Comment