Raila
Odinga, kiongozi wa upinzani nchini Kenya amemshtumu rais Uhuru Kenyatta
kuwa aliwalipa mashahidi ili waweze kumfikisha naibu wa rais ambae ni William
Ruto katika mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai nchini Uholanzi.
Kenya
ilikumbwa na machafuko muda mchache baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 kufanyika.
Watu
kadha walifariki katika machafuko hayo.
Odinga
alifahamisha kuwa rais Uhuru Kenyatta alitoa hongo kupitia mbunge Moses
Kuria.
Taarifa
hizo zimetolewa baada ya Moses Kuria kukiri kuwa aliwatafuta mashahidi dhidi ya
Ruto.
0 comments:
Post a Comment