Image
Image

Yanga yamtema Mkwasa mchana kweupeeeee....

YANGA SC imesema kwamba Charles Boniface Mkwasa anamaliza Mkataba wake Desemba na hawana tatizo naye iwapo hataongeza Mkataba.
Katibu wa Yanga SC, Dk. Jonas Tiboroha amesema kwamba wanasikia tu juu ya mpango wa Mkwasa kusaini Mkataba wa kuwa kocha wa kudumu wa timu ya taifa, Taifa Stars na hawana pingamizi.
Leo Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema kwamba Mkwasa atasaini Mkataba wa kudumu Taifa Stars, sawa na wa mtangulizi wake, Mholanzi Mart Nooij.
Malinzi alimteua Mkwasa kukaimu Ukocha Mkuu Taifa Stars kwa miezi mitatu tangu Julai na akasema kwa kuanzia atakuwa anachukua mshahara alikuwa analipwa Nooij.Bofya hapa kusoma zaidi-> http://bit.ly/1MWccJS
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment