Mgeta amekuwa majeruhi kwa zaidi ya wiki mbili sasa.
Neckarsulmer inayoshiriki daraja la tano imemkukosa
Mgeta baada ya kuumia mwezi uliopita.
Akizungumza kutoka nchini Ujerumani, beki huyo wa zamani wa
Simba, amesema:
“Nimeanza mazoezi taratibu, lakini nimekuwa nikifanya peke
yangu. Baada ya hali kuimarika nitaungana na wenzangu.”
0 comments:
Post a Comment