Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lime ingia siku yake ya pili leo kwa Spika JOB NDUGAI kuendelea na zoezi la kuwaapisha wabunge wateule lililoanza jana baada ya yeye mwenyewe kuchaguliwa na kuapishwa.
Rais D akta JOHN POMBE MAGUFULI aliyewasili Dodoma jana kwa kutumia gari akitokea Dar es Salaam,kesho anatarajiwa ku wasilisha bungeni kwa uthibitisho,jina la Waziri Mkuu na kuzindua bunge hilo kesho - kutwa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment