Kufuatia ajali hiyo mganga wa
wilaya ya iramba Dkt.Timoth Sumbe amesema wamepokea maiti kumi na mbili kati ya
hizo wamo wanawake watatu, wanaume sita na watoto wa tatu huku majeruhi kumina
nane wakiendelea kupatiwa matibabu ambao wengi wao wamevunjika miguu , mikono
na majeraha usoni.
Hawa ni Madereva wa Malori hayo
mawili yaliyokuwa yamegongana na basi la abiria la TAKBIR wanaelezea namna
ajali ilivyotokea licha yakuwa wanalalamikia tatizo la mwendo kasi wa madereva.
0 comments:
Post a Comment