Askari sita wa Marekani wameuawa baada ya kulipukiwa
na bomu nchini Afghanistan wakiwa katika doria kwenye moja ya maeneo ya
katikati ya mji mkuu wa nchi hiyo Kabul.
Mkuu wa shughuli za Jeshi la Umoja wa kujihami nchi za Magharibi -NATO Brigedia Jenerali Wilson Shoffner amesema mbali ya wanajeshi hao sita kuuawa wengie watatu pia walijeruhiwa katika tukio hilo.
Wakati,Nato ikisema watu waliouawa katika tukio hilo ni sita kikundi cha wapiganajui wa Taliban nacho kimetoa taarifa yake kuhusiana na tukio hilo na kusema kuwa waliouwa ni 19 na wala siyo 6.
Nchi ya Afghanistan kwa miaka kadhaa sasa imekuwa na hali tete ya amani na imekuwa ikitumika kama kificho cha vikundi vya kigaidi ambavyo vimekuwa vikifanya uasi katika nchi mbalimbali duniani.

0 comments:
Post a Comment