Chama cha wananchi CUF kimetoa msimamo wake wakuto
hudhuria kwenye sherehe za Mapinduzi kwa walichodai kuwa hawatambui uongozi
uliopo madarakani visiwani humo.
Msimamo huo mzito umetolewa na mshauri mkuu wa
katibu mkuu wa chama hicho Mhe Mansour
Yussuf Himid kwa niaba ya Maalim Seif
ambaye pia ni makamu wa kwanza wa rais ambapo amesema CUF kinaamini kuwa uongozi uliokuwepo sasa si uongozi uliotokana na nguvu za wanananchi
huku akisema sherehe hizo huwa zinaongozwa na rais aliyechaguliwa kikatiba na siyo ambaye muda wake na uuongozi mzima umemaliza
muda wao..
Kiongzoi huyo wa CUF ambaye amewahi kuwa
mshika fedha wa CCM Zanzibar na waziri katika awamu mbili za Amani
Akrume na awamu ya Dr.Shein kabla
kutimuliwa ndani ya CCM amemsmea malengo ya mapinduzi ya waasisi wake yalikuwa
ni kuwa na nchi ianyongozwa na ridhaa za
wananchi hivyo CUF imeamua
kususia sherehe hizo hadi sheria na
katiba ya nchi itap[oheshimiwa..
sherehe za mapinduzi zinatarajiwa kuanza januari
mbili huku kwa mujibu ya ratiba ya sherehe hizo zinaonyesha kuwa maalim seif
na viongozi wa CUF wakiwemio
mawaziri wa cuf wameshirikishwa katika uiznduzi wa miradi mbali mbali ya
sherehe hizo za kutimiza miaka 52 ya mapinduiz ya zanzibari
0 comments:
Post a Comment