Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, amesema
Iran ingali na azma ya kuunda zana za Nuklia na mjini Washington spika wa Paul
Ryan wa chama cha Republican, amesema Taifa la Iran ambalo linaongoza kwa
ufadhili wa ugaidi, huenda ikatumia fursa hiyo kuwafadhili vitendo vya kigaidi
duniani.
Hatahivyo sio mataifa yote yaliochukizwa na mkataba
huo .
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon,
ameitaja hatua ya kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Iran kuwa ya kihistoria,
akisema kuwa pande zote zimetekeleza wajibu wao.
Mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza na Ujerumani
nao wameitaja kuwa ushindi mkubwa wa juhudi za kidiplomasia.
0 comments:
Post a Comment