Mcheza Tenisi Andy Murray anatarajia kuiongoza
Uingereza katika mchezo dhidi ya Japan mashindano ya Tenisi ya Davis Cup ikiwa
ni mchezo wa raundi ya kwanza kuweza kushinda mjini Birmingham kuanzia tarehe
4-6 mwezi March.
Murray mwenye miaka 28 anayeshika namba mbili ya
ubora ulimwenguni ataungana na Jamie , Kyle Edmund, Dominic Inglot pamoja na
Dan Evans.
Uingereza ilishinda katika mashindano ya Davis cup
kwa mara ya kwanza mwaka 1936 dhidi ya ubelgiji .
0 comments:
Post a Comment