Serikali imesitisha mkataba wa Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,GEORGE NYATEGA na ku
wasimamisha wakurugenzi wengine watatu
ili kupisha uchunguzi.
Akitangaza uamuzi huo ,
Waziri wa Elimu, S ayansi,Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa JOYCE NDALICHAKO amese ma
waliosimamishwa ni pamoja na Mkugenzi wa
Fedha na Utawala,YUSUFU KISAMO.
Waziri huyo amesema wengine waliosimamishwa ni JUMA CHAGO NJA,Mkurugenzi
wa Urejeshaji Mikopo,HAMISI MORAZA, Mkurugenzi wa Upangaji na Utoaji Mikopo.
Wakurugenzi hao wamesimamishwa kutoka na na utendaji mbovu na
udhaifu katika usimamizi wa shughuli zao
ambapo k atika udhaifu na utendaji mbovu
wameitia serikali hasara ya Shilingi
zaidi ya BILIONI tatu.
Waziri amesema yote hayo yalifanyiwa uchung uzi na Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
kutoka mwaka 2009 hadi 2013 na kwamba mkurugenzi wa Bodi NYATEGA alishasta afu,lakini akaongezewa
mkataba ambao ungemalizika Agosti mwaka huu.
Taarifa zaidi tutawaletea kadri tuzipatapo,endelea kusoma
taarifa zetu na kulike page yetu,maoni yako ni muhimu.
0 comments:
Post a Comment