Image
Image

Breaking News:Polisi wanamaji wakata shehena isiyolipiwa kodi bandarini DSM.




Shehena ya mizigo mbalimbali ambayo inadaiwa kutolipiwa kodi imekamatwa na kikosi cha wanamaji katika eneo la bahari ya hindi na kupelekwa katika bandari ya Dar es Salaam mapema leo.
Kwa mujibu wa mkuu wa  kikosi cha wanamaji Mboje Kanga amesema mizigo hiyo ilikamatwa katika jahazi ambalo lilikuwa limetoka Zanzibar na lilikuwa linaelekea Bagamoyo.





Amesema baadhi ya mizigo walioanza kuibaini ikiwa ndani ya boksi ni pamoja na Tv,Radio,Spika,Pafium na vitu vingine ambavyo wanaendelea kuviangalia zaidi baada ya kuvikamata kutokana na kutolipiwa kodi kupitishwa kinyemela ikiwa kwenye jahazi.
Kwa waliokamatwa na mizigo hiyo wamsema kuwa mizigo yao ipo sawa hakuna tatizo huku wakisema kinachofanywa ni aina ya urasimu huku wao wakiingia hasara.





Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment