Mchezaji Tenisi Novak Djokovic amejiondoa kwenye
mashindano ya tenisi ya Dubai hatua ya robo fainali katika mchezo dhidi ya
Feliciano Lopez baada ya kuwa na tatizo la jicho
Djokovic mwenye umri wa miaka 28 alionekana akimuita
kocha wake wakati wa mchezo na kumwambia tatizo la kusumbuliwa na jicho kabla
ya kumaliza mchezo.
Mchezaji huyo namba moja wa Tenisi Duniani
amejiondoa baada ya kupoteza seti ya kwanza (6-3).
0 comments:
Post a Comment