Ligi kuu ya Soka la England inatarajia kuendelea
tena Wikiendi hii baada ya kupisha michuano ya FA CUP ambapo Jumamosi kutakuwa
na michezo sita.
Vinara wa ligi Leicester city watacheza dhidi ya
Norwich city, Southampton na Chelsea, Stoke itaikaribisha Aston Villa, Watford
itaivaa Bournemouth, West Brom na Crystal Palace, West Ham itaikaribisha
Sunderland.
0 comments:
Post a Comment