Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni
alipowasili katika shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es
salaam kwa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa
shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe
aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla
hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Wanafunzi
wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam katika
sherehe hiyo fupi ya Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kuwaaga rasmi
walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu
sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa
la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya
kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza risala toka kwa mwanafunzi wa
shule ya Msingi ya Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa
sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo
ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea
elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena
hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea zawadi ya saa toka kwa mwalimu
Mkuu wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy Mwalecela ,
Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi
walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu
sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa
la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya
kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akitoa msaada wa vifaa vya shule kwa
wanafunzi wasiojiweza katika shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy
Mwalecela , Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya
kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana
historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya
msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama
mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.Zaidi BOFYA HAPA.http://michuzi-matukio.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment