Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi,WILIAM LUKUVI ameagiza kupimwa na kukabidhiwa kwa hati za kimila
wananchi wa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro .
Waziri LUKUVI pia ametaka kuheshimiwa na kutambuliwa katika maeneo m balimbali zikiwemo taasisi za fedha.
Amesema hayo baada ya kupokea taarifa ya usuluishi wa migogoro ya ardhi kwa Wilaya ya Kilosa katika eneo la Mabwegere,kazi ambayo alimuagiza aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro,Mzee STEVEN MASHISHANGA ku i fanya .
Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,D akta RAJAB RUTENGWE ameviasa vyombo vya usalama kutokuwa sababu ya migogoro ya Ardhi,hasa ya wakulima na wafugaji Wilayani Mvomero na kuahidi kubadili viongozi wa Polisi ili kubadili hali ya utendaji kazi .

0 comments:
Post a Comment