Image
Image

MIRUMBE amesema ni jukumu la Idara ya Takwimu ya Taifa kuhaki kisha ina takwimu sahihi.



Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mkoani Mara , JOSHUA MIRUMBE amesema ni jukumu  la Idara ya Takwimu ya Taifa kuhaki kisha ina takwimu sahihi  zinazoonesha uhalisia wa ukuaji wa p ato la taifa badala ya kuhubiri  ukuaji huo kwa maneno.
MIRUMBE aameyasema hayo mjini Bunda  alipokuwa akifungua mafunzo  ya siku tano kwa Maafisa Takwimu kutok a mikoa mitano ya Kanda ya ziwa  yanayofanyikia katika Chuo cha Ualimu Bunda.
Amesema kwa vile  taifa linakimbia kuingi a  katika  uchumi wa kati, ni vema  dhana hiyo isiwe ya manen o tu bali iwe na takwimu sahihi  zinazoonesha uhalisia wa maisha ya wa tu katika  ukuaji  wa uchumi.
Mapema mchumi kutoka Wizara ya Kilimo na Mifugo, BENJAMIN KALEKEZI  ali sema lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo watafiti ili  wapate   takwimu sahihi hali itakayowsaid ia kumkomboa kiuchumi mwananchi  wa kipato cha chini.
Maofisa  takwimu 147 kutoka mikoa ya  Mara,Mwanza,Shinyanga,   Kagera na Simiyu wanashiriki mafunzo hayo .
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment