Mashabiki wawili wa soka watapata bahati ya kushuhudia
mchezo wa ligi ya HISPANIA LA LIGA kati ya BARCELONA na DEPORTIVO LAKURUNYA
utakayofanyika mwezi ujao.
Wakizungumza wakati wa kutangaza shindano la kujishindia
tiketi ya kuona mchezo huo,mwakilishi wa AZAM TV,MROPE KIWANGA na MARY RUTTA
kutoka TIGO wamewashauri wateja wa AZAM TV kulipia ving’amuzi vyao kupitia
,TIGO PESA,ili kujishindia tiketi za kuona mchezo huo.
BARCELONA hivi sasa inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 57
huku DEPORTIVO wakiwa katika nafasi ya TISA na pointi 32 kibindoni.
0 comments:
Post a Comment