Mbunge jimbo la Bunda Ester Bulaya
Saidi Msangi.
Polisi wamemkamata Mbunge jimbo la Bunda Ester
Bulaya wakati akiwa hotelini kwake jijini Mwanza.
Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa chama hicho CHADEMA,Tumaini
Makene alipokuwa akizungumza na Tambarare Halisi kujua sababu na kiini cha
kukamatwa Mbunge huyo amesema bado hawajafahamu hadi hivi sasa nini sabau za
msingi za kukamatwa kwake.
Ameema kuwa viongozi wakuu wa chama hicho wameelekea
kituoni hapo ili kuhoji na kujua hatma ya mbunge huyo.
Hata hivyo Makene ameongeza kwa kusema kuwa Bulaya
alikamatwa usiku wa saa saba akiwa hotelini Mwanza.
0 comments:
Post a Comment