Mwapachu amerejea CCM tena! Nadhani mbio za kujiunga
UKAWA ilikuwa ni "TAMAA YA FISI" baada ya kupiga hesabu na kuona
Lowassa angelishinda urais.
Si rahisi mtu kama Mwapachu kuishi mahali ambako
hakuna uteuzi hata wa utendaji wa kijiji! Kuishi kimabadiliko ni kazi sana,
waachieni waliozoea kazi hiyo! #Kwaheri_Balozi_Mwapachu!
I hope JPM anakuandalia ka-uteuzi kokote kale, maana nyinyi wenzetu kuishi bila
viuteuzi pumzi zinawaishia mapema sana.
Mtatiro J.->https://www.facebook.com/julius.mtatiro?fref=ts
Mtatiro J.->https://www.facebook.com/julius.mtatiro?fref=ts
0 comments:
Post a Comment