
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Mgeni wake Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kuendelea na mahusiano katika Nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Vientnam, Marchi 9,2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kuendelea na mahusiano katika Nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Vientnam, Marchi 9,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mgeni wake Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang wakiwa katika jukwaa kwa ajili ya kuimbiwa nyimbo za matifa yote mamwili kabla ya kukagua gwaride alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kuendelea na mahusiano katika Nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Vientnam, Marchi 9,2016
Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang akikagua gwaride alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kuendelea na mahusiano katika Nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Vientnam, Marchi 9,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam, pembeni ni wananchi na wafanyakazi wa Ikulu waliojitokeza kumpokea Rais wa Vientnam, Marchi 9,2016











0 comments:
Post a Comment