Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli amemtembelea na
kumjulia hali hali katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF ambaye pia ni makamu
wa kwanza wa rais wa Zanzibar,Maalim Seif sharif Hamad jijini Dar es Salaam
aliyekuwa amelazwa katika hosptali ya Hindu Mandal na kuruhusiwa jana.
Katibu
mkuu wa CUF Maalim Seif amemshukuru rais Dkt.Magufuli kwa kumjulia hali na
kusema kuwa hali yake ya kiafya inaimarika siku baada ya siku.

0 comments:
Post a Comment