Watu wawili wamepatikana na ugonjwa wa EBOLA nchini
Guinea ikiwa ni miezi mitatu baada ya ugonjwa huo kutangazwa kwa
umeangamizwa nchini humo.
Inaeleweka kuwa watu wengine watatu wa familia yao wal iaga dunia hivi majuzi baada ya kuonesha dalili za ugonjwa wa EBOLA.
Matukio hayo mapya ya yameripotiwa siku chache baada ya Sh irika la Afya Duniani kutangaza kuangamizwa kwa ugonjwa huo katika taifa jirani la Sierra Leone.
Watu zaidi ya Elfu-11 wame kufa kwa ugonjwa wa EBOLA wakati wa mlipuko wake katika nchi za Afrika Magharibi ambapo zilizoathirika sana zilikuwa Guinea, Sierra Leone na Liberia.

0 comments:
Post a Comment