Hayo yamedokezwa na Saeid Hafezi Mkurugenzi wa Shirika la Kuchimba
Mafuta Baharini la Iran (IOOC) ambaye amebainisha kuhusu utajiri mkubwa
wa Iran wa gesi asilia na mafuta ya petroli katika maji ya Ghuba ya
Uajemi.
Hafezi amesema hivi sasa mafuta ambayo yanaweza kuchimbwa katika eneo hilo ni mapipa bilioni 16 na kuongeza kuwa, hivi sasa Iran inatafuta teknolojia mpya na ya kisasa zaidi ili iweze kuchimba mafuta hayo kutoka baharini.
Aidha amesema Iran ina hifadhi ya mita mraba bilioni 187 za gesi asilia katika Ghuba ya Uajemi. Amesema Iran hivi sasa ina uwezo wa kuchimba asilimia 75 ya gesi hiyo.

0 comments:
Post a Comment