Jopo la wataalamu wa kimataifa wanaochunguza kupotea
kwa walimu wakurufunzi wapatao 43 mnamo mwaka 2014, linasema kuwa serikali
ilitatiza uchunguzi huo.
Wataalamu hao wanapuuzilia mbali taarifa ya mwisho
kwamba waalimu hao walipeanwa kwa genge la majambazi na maafisa wafisadi wa
polisi.
Inasemekana kuwa genge hilo liliteketeza miili ya
wanafunzi hao katika eneo la utupaji taka.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment