Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akiwasha Mwenge wa Uhuru kuzindua rasmi mbio za Mwenge
wa Uhuru Mwaka 2016 leo Aprili 18, 2016. sherehe iliyofanyika katika
uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro. Kulia ni Waziri wa Uwezeshaji Ustawi
wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto - Zanzibar Mhe. Modelin Kastiko.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akimkabidhi Mwenge wa Uhuru kiongozi wa mbio za Mwenge
kwa mwaka 2016 George Jackson Mbijima kutoka mkoa wa Mbeya kwa ajili ya
kukimbiza mwenge huo katika Mikoa na wilaya zote za Tanzania.Picha na
OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akihutubia Taifa kwenye Sherehe za uzinduzi wa Mwenge wa
Uhuru kitaifa zilizofanyika leo april 18, 2016 katika Uwanja wa Jamhuri
Mkoani Morogoro.
Vijana wa halaiki wakiwa Uwanjani, wakati wa Uzinduzi wa Mbio za Mwenge kwa Mwaka 2016.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment