Maziko ya mwanamuzi nguli wa Dance raia wa DR Congo
aliyekuwa akifanya mziki wake nchini Tanzania,Ndanda Kosovo yatafanyika
Jumatano katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Kwa sasa Mipango ya mazishi yanafanyika Kinondoni
Hananasif katika nyumba inayomilikiwa na Ubalozi wa DR Congo.
Ndanda amefariki Kosovo amefariki 9Aprili 2016,kutokana
na kusumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu.
Taarifa zinasema,mama yake mzazi tayari ameondoka
mjini Lubumbashi kuwahi mazishi na anatarajia kuwasili jijini Dar, kesho
asubuhi.
0 comments:
Post a Comment