Katika mchezo huo wa jana usiku uliohudhuriwa na
watu maarufu kama Magic Johnson, Shaquille O'Neal, Jay Z, Jack Nicholson pamoja
na David Beckham, Kobe Bryant alifunga pointi 60 na kuishinda Utah Jazz kwa
pointi 101-96.
Kobe Bryant akindanki angani na kupachika kikapu
Mchezaji kikapu wa zamani wa Lakers Magic Johnson akikumbatiana Kobe Bryant
Kobe Bryant akiwaaga mashabiki wa kikapu
0 comments:
Post a Comment