Waziri Nape Nnauye akisalimiana na Waombolezaji waliofika kwenye msiba wa Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini, Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo ambaye anatarajiwa kuzikwa jioni ya leo Makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
Waziri wa Habari,utamaduni,Sanaa na Michezo.Mh Nape Nnauye akisalimiana na Waombolezaji waliofika kwenye msiba wa Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo ambaye anatarajiwa kuzikwa jioni ya leo Makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
Baadhi ya
Marafiki ndugu jamaa na wanamuziki wenzake wakiwa wamekusanyika nje ya
nyumba ya Ubalozi wa Congo,iliopo Hananasifu-Kinondoni jijini Dar
,wakisubiri kuwasili kwa mwiliwa Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo kwa ajili ya kuagwa na hatimae mazishi yake kufanyika leo alasiri katika makaburi ya Kinondoni.
Sanduku lenye mwili wa Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo likiwa mbele ya Waombolezaji tayari kwa kuanza kumuaga.Sanduku lenye Mwili wa Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo ukiwasili mapema leo mchana katika nyumba ya Ubalozi wa Congo,iliopo Hananasifu-Kinondoni jijini Dar,kwa ajili ya kuagwa na hatimae mazishi yake kufanyika jioni ya leo katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
BOFYA HAPA KWA PICHA->http://michuzi-matukio.








0 comments:
Post a Comment